Bonyeza kitufe, pata safari

Taxify ni njia bora kutumia kuzunguuka katika mji wako. Pata programu ya iPhone na Android.

Kuhusu Taxify

Kupata gari katika dakika

Bonyeza kitufe na gari litakuja hapo ulipo.

Jinsi Taxify inavyofanya kazi?

1. Ombi

Chagua gari linalolingana na bajeti yako, weka mahali ulipo kisha itisha gari.

2. Safiri

Unaweza kuangalia dereva wako akiwasili kwenye ramani.

3. Lipa & kisha toa maoni

Unaweza kutoa maoni kuhusu dereva na safari yako katika programu yetu.

Huduma za Taxify

Zaidi ya programu

Tunaunganisha wateja na madereva kwa bei nafuu zaidi. Ukitumia Taxify, tunajitahidi kufanya safari yako iwe rahisi na ya kupendeza.