Taxify kwa ajili ya biashara

Safari za kuaminika kwa wafanyakazi wako. Gharama ya chini kwa biashara yako.

Kwa nini Taxify?

Okoa fedha

Tumia huduma yoyote ya Taxify - kutoka kwa ile nafuu zaidi hadi ya kifahari.

Okoa wakati

Pata bili yako kila mwezi, hakuna ripoti za kila wakati.

Pata data

Ripoti ya uwazi ina maelezo juu ya kila safari, pamoja ramani na njia iliyotumiwa.

Kuwa mteja wetu kibiashara

Tutaunda akaunti ili uweze kusimamia jinsi wafanyakazi wako wanavyotumia akaunti yako.