Lisbon, Ureno

Taxify katika Lisbon

Lisbon inazidi siku hadi siku kuwa miji inayovutia zaidi katika bara la Ulaya. Inajulikana kwa jua lake kali na hali yake ya hewa ya joto, Lisbon ni mji ambao unadhihirisha historia na mahali pa kufurahia chakula, ladha nzuri ya mvinyo au kuendesha biashara. Kutoka juu ya milima saba hadi sehemu za chini za mji, haijalishi uko wapi, Tumia Taxify kupata usafiri ndani ya dakika chache.

Huduma zilizopo

Binafsi
Huduma ya safari nafuu.
1 - 4
0.50 € Msingi
0.33 € KM + 0.05 € DK
1.25 € Kima cha chini cha

Pata kipato kwa kuendesha na Taxify

Fanya kazi kwa ratiba yako mwenyewe. Hakuna masaa ya chini na hakuna bosi.

Endesha na Taxify

Wasiliana nasi

Taxify OÜ

Maelezo ya kisheria
Sheria na masharti